0 Comment
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imeshindwa kusikikiza kesi ya kusambaza taarifa za uongo inayomkabili aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt.Wilbroad Slaa (76) kwa sababu ya kutofikishwa mahakamani. Dkt.Slaa alifikishwa mahakamani hapo Januari 10, 2025 akikabiliwa na kesi ya jinai namba 993 ya mwaka 2025, ambapo alitarajiwa kufikishwa mahakamani hapo leo kwa ajili... Read More