0 Comment
Na MWANDISHI WETU MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amepokea taarifa maalumu ya mikakati ya uboreshaji wa Shule za Msingi Olympio Diamond, Zanaki Bunge, Mzizima na Kisutu ambayo imejikita kupunguza msongamano wawanafunzi kwa mwaka huu 2025 na kuinua taaluma. Akizungumza baada ya kupokea taarifa hiyo, Mpogolo amesema lengo ni kupunguza msongamano wawanafunzi, kuboresha... Read More