0 Comment
Na Oscar Assenga,MUHEZA MWENGE wa Uhuru unatarajiwa kuwasili katika wilaya ya Muheza Ijumaa June 13 ukitokea wilaya Korogwe ambapo utazindua miradi 7 ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya Biloni 1.6 na utakimbizwa kwa umbali wa kilomita 90.4. Hayo yalisemwa leo na Mkuu wa wilaya ya Muheza Zainabu Abdallah wakati akizungumza na waandishi wa habari... Read More