0 Comment
-Ukarabati uwanja wa Benjamini Mkapa wafikia asilimia 80 Na Mwandishi wetu – Dar es Salaam Uwanja wa Benjamin Mkapa umeendelea kukarabatiwa kwa kasi, ambapo hadi sasa kazi hiyo kubwa imefikia asilimia 80 ya utekelezaji. Ukarabati huu ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambayo imeweka... Read More