0 Comment
Wajumbe wa Bodi ya TASAC wakiangalia ujenzi wa maboresho ya Bandari ya Bukoba wakati walipofanya ziara katika Bandari hiyo. Mafundi wakiendelea na ujenzi wa Bandari ya Bukoba Bodi ya Wakurugenzi wa TASAC ,Watumishi wa TASAC,TPA wakiwa katika bandari ya Kemondo. Baadhi picha katika Matukio ya bodi ya TASAC katika Bandari ya Kemondo na Bukoba. Na... Read More