0 Comment
https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2025/04/InShot_20250426_200557565.mp4 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametoa maelekezo kwa Wizara ya Maji kuweka msukumo na kipaumbele ili mradi wa maji wa Tarime – Rorya ukamilike kwa wakati uliopangwa na wananchi waone matunda yake. Balozi Nchimbi amesema mradi huo ni mojawapo ya miradi ya maji mikubwa nchini ambayo... Read More