0 Comment
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Khamis Hamza Khamis ametoa wito kwa wadau katika sekta ya utalii kuongeza uwekezaji na juhudi za pamoja katika usimamizi wa utalii katika maeneo yanayolindwa ili kuwa na Utalii endelevu. Mhe. Khamis ameongeza kuwa kuwekeza katika utalii wa maeneo yaliyolindwa sio tu kunafaida kwa uhifadhi,... Read More