0 Comment
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayemaliza muda wake, Dkt. Akinwumi Adesina amemaliza ziara yake ya kikazi ya siku 4 aliyoifanya nchini Tanzania kuanzia tarehe 12 hadi 15 Juni 2025. Dkt. Adesina aliondoka nchini kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na kusindikizwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na... Read More