Chama cha Wakala wa Forodha Tanzania (TAFFA) kimepongeza juhudi zinazofanywa na Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan za kuboresha huduma za upakiaji na upakuzi wa mizigo katika bandari ya Dar es Salaam na kuwataka wanaobeza jitihada hizo kupuuzwa. Akiongea katika mkutano wake na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Rais wa Taffa Edward... Read More
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ameeleza kuwa Wizara yake itahakikisha maelekezo ya Serikali yaliyotolewa hivi karibuni kwa wananchi wa tarafa ya Ngorongoro kuhusiana na uboreshaji wa huduma za jamii yanatekelezwa. Chana ametoa kauli hiyo alipotembelea makao makuu ya ofisi za Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro na kuongea na Menejimenti... Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) mkoani Kilimanjaro tayari kwa kuelekea mkoani Arusha ambapo ni Mgeni Rasmi kwenye Ufunguzi wa Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma kitakachofanyika kwenye kituo cha Kimataifa cha... Read More
Na Mwandishi Wetu, Arusha. Tanzania inajivunia hatua ilizochukua za kuziba pengo la kidijitali nchini kwa kuongeza upatikanaji wa huduma bora za mtandao wa kasi kwa taasisi za Serikali na kwa umma kwa ujumla kupitia utekelezaji wa Mradi wa Tanzania ya Kidijitali. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bw. Mohammed Khamis... Read More
Kwa hakika wameshangaa kwa nini hawapo 10 Bora ya nchi zinazoleta watalii kwa wingi na wameshangazwa zaidi na uzuri wa Tanzania; huo ndio mtazamo wa awali kabisa wa kundi la makampuni makubwa ya utalii na vyombo vya habari vya masuala ya safari waliofika nchini leo tayari kuitembelea na kuona uzuri wa Tanzania. Akizungumza na watendaji... Read More
Baada ya wananchi zaidi ya mia mbili kuaandamana na kufunga barabara kwa zaidi ya Saa sita kwa madai ya ukosefu wa maji katika kijiji cha Losintai katika kata ya Oljoro namba tano Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara,Waziri wa Maji Juma Aweso ameingilia jambo hilo nakulitilia mkazo nakusema kuwa mpango huo unatakiwa kukamilika ndani ya mwezi mmoja... Read More
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa jitihada kubwa za kuimarisha utendaji wa Sekta ya Bandari Nchini unaowezesha ufanisi wa huduma za kibandari zenye Mchango mkubwa katika ukusanyaji wa Mapato ya Serikali. Pongezi hizo zimetolewa na Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Yusuph Mwenda alipotembelea Bandari ya Tanga... Read More