0 Comment
Na WAF, Mwanza Msajili Baraza la Optometria Bw. Sebastiano Millanzi na Msajili Baraza la Famasi wametoa onyo kwa wamiliki wa maduka ya dawa nchini kuacha kufanya biashara ya huduma za macho kama lenzi tiba na fremu za miwani kwani kufanya hivyo ni kwenda kinyume na Sheria ya Optometria Sura ya 23. Wito huo umetolewa na... Read More