0 Comment
Sekretarieti ya Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SJMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imekutana kujadili masuala ya Muungano jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Februari 2025. Kikao hicho kimeongozwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja pamoja na Mwenyekiti Mwenza ambaye ni... Read More