0 Comment
Mgeni rasmi wa Kongamano la Vijana wa Kiislamu mkoani Mwanza, Mkurugenzi wa Kivulini, Yasin Ally,leo akizungumza katika kongamano hilo. Sheikh wa Mkoa wa Mwanza, Alhaji Hasani Kabeke, akitoa neno la shukurani baada ya kongamano la vijana wa Kiislamu jijiji humu, leo. Mwenyekiti wa Masheikh nchini na Sheikh wa Mkoa wa Kagera, Alhaji Haruna Kichwabuta,leo akitoa... Read More