0 Comment
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango, Zanzibar, Dkt. Juma Malik Akil, akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Majadiliano ya Kimkakati wa Ngazi ya Wataalamu kwa Mwaka 2025 kati ya Serikali na Wadau wa Maendeleo, kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, katika ukumbi wa Kambarage-Treasury Square, jijini Dodoma, ambapo... Read More