0 Comment
Mkuu wa Mkoa ya Manyara, Mhe.Queen Sendiga,akizungumza leo Februari 18,2025 wakati akifungua Mafunzo ya Usimamizi wa Vyama vya Ushirika kwa Maafisa Ushirika wa Kanda ya Kaskazini mjini Babati – Manyara ambayo yataendelea mpaka tarehe 28/02/2025 ambayo yamejumuisha Maafisa Ushirika 116. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo anayesimamia Ushirika na Umwagiliaji, Dkt. Stephen Nindi,akizungumza... Read More