0 Comment
Na Mwandishi wetu, Mirerani WEZI wamevunja stoo ya kuhifadhi vyakula kwenye kituo cha watoto yatima, wenye uhitaji maalum na waliokuwa kwenye mazingira magumu cha Light In Africa kilichopo mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara na kuiba vyakula vyenye thamani ya Sh468,000. Mmoja kati ya walezi wa kituo hicho, Jasmin Kimaro akizungumza na... Read More