0 Comment
OR-TAMISEMI Naibu Waziri wa Afya, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange, amesema serikali itatoa sh. milioni 600 kukamilisha ujenzi wa kituo cha afya cha kisasa katika Kata ya Ukumbi, Wilaya ya Kilolo. Dkt. Dugange ametoa kauli hiyo alipokutana na wananchi wa kata hiyo katika mkutano wa hadhara wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua... Read More