0 Comment
Mwandishi Wetu TUME ya Madini imefanikiwa kukusanya Shilingi 690, 763, 401,639.06 ndani ya miezi nane sawa na asilimia 69.08 ya lengo la mwaka wa fedha 2024/2025. Akielezea mafanikio ya Tume ya Madini kwa kipindi cha miaka minne leo Machi 4, 2025 Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Ramadhani Lwamo amesema ukusanyaji wa maduhuli yatokanayo... Read More