0 Comment
Na Mwandishi wetu, Mirerani CHAMA cha wachimbaji madini Mkoa wa Manyara (MAREMA) kimepanga kuanza ziara ya kutembelea matawi yake saba kwa ajili ya kusikiliza kero, changamoto na mafanikio waliyonayo. Mwenyekiti wa MAREMA Elisha Nelson Mnyawi ameyasema hayo kwenye kikao cha kamati tendaji ya MAREMA, kilichofanyika katika ofisi za makao makuu yake yaliyopo mji mdogo wa... Read More