0 Comment
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw Hamza Saidi Johari jana aliongoza mamia ya Waislamu ambao ni wateja wa benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwenye hafla fupi ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo huku akisisitiza umuhimu wa taasisi za fedha nchini kuzingatia mahusiano na huduma zinazo heshimu sheria, imani na misingi ya dini za wateja. Hafla... Read More