0 Comment
KAIMU Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo TIB, Bi. Lilian Mbassy akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na mwelekeo wa Benki hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan leo Machi 20, 2025, katika Ofisi za Idara ya Habari – MAELEZO, jijini... Read More