RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimkabidhi Sadaka ya Iftaar Mwananchi Mkoa wa Kaskazini Pemba. Mukrim Faki Ali, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Jamhuri Wete Pemba.(Picha na Ikulu) MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimkabidhi Sadaka ya Iftaar... Read More
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UANDIKISHAJI WA WAPIGA KURA MKOA WA DAR ES SALAAM Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea na zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika mkoa wa Dar es salaam, pamoja na zoezi hilo kuendelea vizuri kumejitokeza changamoto ya baadhi ya watu kujiandikisha zaidi ya mara moja katika... Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wadau wa SUKUK,Wafanyabiashara,Taasisi za Fedha na Mifuko ya Hifadh Jamii, ili kuwekeza katika hatifungani ya Zanzibar SUKUK, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 20-3-2025.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein... Read More
Katibu Tawala wa Wilaya ya Bunda Bw. Salum Mtelela, akizungumza alipokutana na Timu ya wataalamu kutoka Wizara ya Fedha na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ambao walifika ofisini kwake kujitambulisha ili kuanza kutoa elimu ya fedha kwa wananchi katika maeneo mbalimbali wilayani humo. Na. Josephine Majura, WF, Bunda, Mara Serikali imezitaka Taasisi za Fedha... Read More
ALHAMIS ya leo hii mechi kali za Mataifa kule Ulaya zinapigwa huku nafasi ya wewe kuondoka na zaidi ya Mamilioni ikiwa mikononi mwako. Chagua timu zako za ushindi na ubashiri hapa. Mapema kabisa Turkey watakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Hungary ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 4.40 kwa 1.85. Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili... Read More
Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa Tanzania, Esther Maruma (kushoto) akizungumza katika mkutano wa kuchochea kasi ya maendeleo ya Wanawake (Accelerate Women Summit 2025) uliofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni, katikati ni ni Mkurugenzi wa Trademark Kanda ya Africa Mashariki na Kati, Monica Hangi na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Yono, Scolastika Kevela.... Read More
NJOMBE, KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imehitimisha ziara ya siku tatu mkoani Njombe kwa kukagua utekelezaji wa miradi ya Nishati Vijijini (REA) inayotekelezwa na serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Kwa upande wa REA ziara hiyo imehitimishwa katika kijiji cha Welela, Jimbo... Read More
Na Mwandishi Maalum Moja ya matukio makubwa nchini wakati jua linazama Jumatano wiki hii ilikuwa ni futari ya kukata na shoka iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwa ajili ya watoto waishio katika mazingira magumu pamoja na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika kuendeleza jadi yake ya kutoa misaada ya kijamii, Benki... Read More
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi Mhe. Onesmo Buswelu hivi karibuni, katika kikao kilichofanyika ofisini kwa Mkuu wa Wilaya. Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme akichangia wakati wa kikao kilichoongozwa na Naibu... Read More