0 Comment
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira ikiongozwa na Mwanyekiti wake Mhe. Jackson Kiswaga (Mb) imekagua mradi wa majitaka wa Manispaa ya Mpanda. Mradi huo una thamani ya Shilingi ya bilioni 1.197 na uwezo wa kupokea majitaka lita 600,000 kwa siku Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko (Mb)... Read More