0 Comment
Na John Bukuku Serikali kupitia Bohari ya Dawa (MSD) imeendelea kuimarisha upatikanaji wa bidhaa za afya katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini, ikiwa ni sehemu ya mkakati wake wa kuboresha sekta ya afya na kuhakikisha huduma zinapatikana kwa urahisi. Katika kuhakikisha upatikanaji wa bidhaa hizi, idadi ya bidhaa za afya ashiria zinazotumika kupima... Read More