0 Comment
MBUNGE WA Jimbo la Dodoma Mjini na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, akiwa na walimu na wanafunzi wakionesha vifaa vilivyotolewa kwaajili ya Shule za Msingi Dodoma wakati wa hafla ya ugawaji wa vifaa mbalimbali vya elimu yakiwemo madaftari kwa Shule zote za Msingi za Jiji la Dodoma iliyofanyika katika Shule ya Msingi Mazengo. MBUNGE WA... Read More