0 Comment
Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Bw. Mavere Tukai akizungumza na waandishi wa habari leo Machi 17,2025 katika Ofisi za Idara ya Habari – MAELEZO, jijini Dodoma kuhusu mafanikio na mwelekeo wa Bohari ya Dawa katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita. Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD),... Read More