0 Comment
Na Silivia Amandius. Kagera: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, amesema Serikali inatambua na kuthamini mchango mkubwa wa Kanisa Katoliki katika kuunga mkono juhudi za Serikali kupitia utoaji wa huduma muhimu za kijamii kama afya, elimu na maji. Ametoa kauli hiyo leo, Machi 19, 2025, aliposhiriki maadhimisho ya Jubilei ya... Read More