0 Comment
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkaribisha tende Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi kwa ajili ya kufungulia saumu, wakati wa hafla ya Iftaar ya pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba, iliyofanyika katika ukumbi wa Kiwanja cha Kufurahisha Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba,... Read More