0 Comment
*Awahimiza kuzingatia afya zao kuepuka magonjwa, changamoto ya afya ya akili *Dodoma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo amewataka watendaji na watumishi wa Wizara ya Madini kuzingatia uadilifu na maadali katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku ili kuhakikisha Sekta ya Madini inakua na kuendelea kuongeza tija ikiwa ni pamoja na kuendelea... Read More