0 Comment
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Sangu amesisitiza Maafisa Sheria na Maafisa Utumishi katika utumishi wa umma kusimamia rasilimaliwatu vyema ili iweze kusimamia rasilimali nyingine za taifa kikamilifu. Mhe. Sangu amesema hayo leo Machi 18,2025 Jijini Mwanza wakati akifungua kikao kazi chenye lengo la kutambua... Read More