0 Comment
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza katika Kongamano la Maadhimisho ya Miaka 30 ya VETA jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa VETA CPA Anthony Kassore akitoa maalezo kuhusiana na mikakati ya VETA kwenye maadhimisho ya miaka 30 tangu kuanzishwa kwake jijini Dar es Salaam. Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda akitoa maelezo... Read More