0 Comment
BAADHI ya Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kugawa Sadaka ya Futari kwa Wananchi wa Makundi Maalumu, hafla hiyo ya ugawaji iliyofanyika katika viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi Wilaya ya Chake Chake Pemba... Read More