0 Comment
Walimu 646 wa Shule za Msingi Wanufaika na Mafunzo ya mbinu za ufundishaji yanayoendeshwa na Serikali chini ya ufadhili wa Mradi wa Kuimarisha Ufundishaji na Ujifunzaji kwa Shule za Awali na Msingi Tanzania (BOOST). Walimu hao ni wa shule za Msingi kutoka mikoa sita ambayo ni Dodoma, Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe, na Ruvuma wanashiriki mafunzo... Read More