0 Comment
OR-TAMISEMI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI imeielekeza Ofisi ya Rais – TAMISEMI kupitia upya mkataba wa mkandarasi wa kigeni, Sichuan Road and Bridge Group Corporation, na kuchukua hatua za haraka kutokana na kushindwa kutekeleza kwa wakati mradi wa TACTIC awamu ya kwanza katika Wilaya ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga. Mwenyekiti wa Kamati hiyo,... Read More