0 Comment
Na WAF Dar, es Salaam Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Mkoa wa Dar es Salaam inatarajia kuanza zoezi la umezeshaji wa Kingatiba dhidi ya magonjwa ya matende na mabusha au ngirimaji kwa wananchi waliopo kwenye kata 10 za wilaya hiyo zenye maambukizi makubwa ya ugonjwa huo kuanzia Januari 22 hadi 26, 2025. Hayo yamebainishwa leo... Read More