0 Comment
Na Ashrack Miraji Fullshagwe Media Kufuatia taarifa za ujauzito kwa wanafunzi wanne wa shule tofauti za msingi na sekondari katika kata za Kalemawe na Bendera, Mkuu wa Wilaya ya Same, Mhe. Kasilda Mgeni, ameagiza Jeshi la Polisi kuhakikisha wahusika wa matukio hayo wanakamatwa mara moja na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria. Mhe. Kasilda ametoa maagizo... Read More