0 Comment
Na John Walter -Manyara Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Manyara, Mheshimiwa Peter Toima Kiroya, amewaonya wanasiasa wanaotumia majukwaa ya kijamii kusambaza chuki na kutoa taarifa za uongo zinazoweza kuvuruga umoja wa wananchi. Akizungumza katika hafla ya shukrani kwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Loiborsoit A, Lengay Lemonji, Mheshimiwa Toima ambaye alikuwa mgeni rasmi,... Read More