0 Comment
https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2025/02/VID-20250206-WA0048.mp4 Spika wa Bunge, Mhe. Tulia Ackson, amekubali uwezo wa kitaalamu wa Wizara ya Afya baada ya Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, kutoa majibu ya kina kuhusu matumizi ya teknolojia ya CRISPR-Cas9 katika matibabu ya magonjwa ya Seli mundu. Katika majibu yake ya swali la nyongeza lililoulizwa na Mbunge wa Jimbo la... Read More