0 Comment
………………. Na Sixmund Begashe Timu ya Riadha ya Wizara ya Maliasili na Utalii (MNRT RUNNERS) leo imeshiriki katika mbio za hiyari Mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro zijulikanazo kama “KILIMANJARO INTERNATIONAL MARATHON” msimu wa 23 kwa lengo si tu la kuhamasisha watumishi wa umma kuimarisha afya zao kupitia michezo bali pia kuitangaza Wizara hiyo yenye mchango mkubwa... Read More