0 Comment
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Februari 24, 2025 Sheikh wa Mkoa wa Pwani, Hamis Mtupa, ameiangukia Serikali kuiomba kufanyia maboresho suala la cheti cha ndoa kwa dini ya Kiislamu ili kiweze kutambulika kisheria. Kwa mujibu wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), cheti cha ndoa cha dini hakitoshi kukutambulisha kama mke na mume inapofika kwenye... Read More