0 Comment
FARIDA MANGUBE, MOROGORO Wafanyakazi nchini wametakiwa kuanza maandalizi ya kustaafu mara tu wanaposaini mkataba wa ajira ili kujijengea mazingira bora ya maisha baada ya kumaliza utumishi wao. Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Utafiti na Mazingira (RAAWU) Tawi la Chuo Kikuu cha Sokoine cha... Read More