0 Comment
✅Wananchi wamshukuru Rais Samia kwa kutenga fedha za miradi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi , Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amezindua miradi ya Elimu, Umeme na barabara yenye thamani ya shilingi bilioni 1.6 katika Halmashauri ya wilaya ya Songwe mkoani Songwe Akiongea wakati wa uzinduzi wa Miradi hiyo leo tarehe... Read More