0 Comment
Na WAF, DODOMA Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amesema Tanzania imekuwa kituo muhimu cha matibabu kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na nchi nyingine jirani, huku akitaja juhudi kubwa zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika kuboresha sekta ya afya. Akichangia taarifa ya shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala... Read More