0 Comment
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mohamed Khamis Hamad akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya mapitio ya mpango kazi wa haki za binadamu na biashara, kikao kazi hicho kimefanyika jijini Dar es Salaam leo Februari 21,2025. Mchumi Mkuu kutoka Wizara ya Fedha, Noel Komba akizungumza na waandishi... Read More