0 Comment
WAZIRI wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda,akizungumza na waandishi wa habari leo Januari 30.2025 kuhusu kufanyika kwa mabadiliko ya tarehe ya kuzinduliwa kwa sera mpya ya Elimu iliyotarajiwa kuzinduliwa kesho ,sasa itazinduliwa Februari 1,2025 jijini Dodoma. ….. WAZIRI wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda ametangaza kubadilishwa kwa tarehe ya uzinduzi wa Sera ya Elimu... Read More