0 Comment
Jina langu ni Sam, mtoto wa mwisho wa mzee Ngami, katika umri wangu wa miaka 22 nimepitia mgogoro mkubwa ambayo siweza kuja kuusahau hata pale nitakapokuwa mzee, ninao mgogoro wa ardhi baina yangu na kaka zangu. Katika familia yetu tumezaliwa watoto 12, wakiume tukiwa saba, huku wa kike wakiwa ni watano. Tuliishi upendo kama ndugu... Read More