0 Comment
Na WAF, Dar es Salaam Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt Seif Shekalaghe leo Januari 28, 2025 ameshiriki katika hafla ya utiaji saini hati ya makubaliano kati ya Serikali ya Ufaransa na Hospitali ya Aga Khan kuhusu uimarishaji wa huduma za saratani katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam. Katika hafla hiyo iliyofanyika... Read More