0 Comment
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), (kushoto) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait (Kuwait Fund for Arab Economic Development), Bw. Albahar Waleed, baada ya kukutana na kufanya mazungumzo Kando ya Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Afrika, ulioanza leo tarehe 27 Januari 2025 katika Kituo cha... Read More