0 Comment
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion na promota wa kwanza wa mwimbaji wa nyimbo za Injili, Goodluck Gozbert, Bw. Alex Msama, amemtaka mwimbaji huyo kuomba radhi kwa Nabii Mkuu Geordevie kufuatia kitendo cha kuchoma gari aliyopewa na mtumishi huyo wa Mungu. Akizungumza na waandishi wa habari, Bw. Msama alisema kuwa kitendo hicho ni cha... Read More