0 Comment
Kaimu Kamishna wa Kitengo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi -PPP, Bw. Bashiru Taratibu akitoa ufafanuzi kwa wajumbe walioshiriki kikao kazi cha kupitia Marekebisho ya Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi (PPP), pamoja na kupitia utekelezaji wa Mkakati wa miaka mitano wa Sera ya Taifa ya... Read More









