0 Comment
Naibu Katibu Mkuu, Bw. Ismail Rumatila pamoja na Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt.Grace Magembe wameongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mkutano wa Bodi Tendaji ya 156 ya Shirika la Afya Duniani unaofanyika kuanzia leo Feberuari 3 hadi 11, 2025 Geneva-Uswisi. Mkutano huo unalenga kujadili ajenda mbalimbali zitakazowasilishwa wakati wa Mkutano wa 78 wa Shirika la Afya... Read More










